MLINZI WA TIMU YA MTIBWA SUGAR DICKSON JOB AKIRUKA JUU KUWANIA MPIRA NA NAHODHA WA IHEFU FC JOSEPH KINYOZI


 Heka heka katika lango la mtibwa mshambuliaji  Joseph Kinyozi akiwania mpira dhidi ya Dickson Job mchezo huo ulimalizika kwa Mtibwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Jafary Kibaya katika dk 35

No comments

Powered by Blogger.