HII NDIYOMECHI YA KWANZA KWA IHEFU KUPATA POINTI TATU KATIKA LIGI KUU SOKA TANZANIA BARA DHIDI YA RUVU SHOOTING


 Mfungaji wa goli pekee la ushindi kwa timu ya Ihefu SC. lililoipatia point 3 katika mchezo wa ligi kuu soka tanzania bara Enock Jiah akiwa kwenye ulinzi mkali kutoka kwa walinzi wa timu ya Ruvu Shooting

No comments

Powered by Blogger.